Dawa za nguvu za kiume bila ushauri wa daktari ni hatari

“Samahani daktari, asubuhi ya siku tatu zilizopita kaka yangu alikutwa amekufa chumbani kwenye nyumba ya wageni alipokwenda kupumzika na mpenzi wake…” “Lakini baada ya kumhoji huyo mpenzi wake, alisema wakati wameingia chumbani alikunywa vidonge kadhaa ambavyo baadaye, wataalamu waligundua vilikuwa vya kuongeza nguvu za kiume. Je, ni kweli dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaweza kusababisha kifo?” Hilo ni swali nililoulizwa wiki iliyopita na mmoja wa wasomaji wa safu hii. Nami ninachukua fursa hii kulitolea ufafanuzi. Kwanza kabisa naomba ieleweke kuwa dawa yoyote ile ikitumika kinyume au pasipo kufuata...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News