DAU LA RONALDO USIPIME SOKONI

MADRID, Hispania HAKUNA lisilowezekana chini ya jua. Kama Cristiano Ronaldo ameweza kutishia kutimka, hata waajiri wake, Real Madrid, wanao uwezo wa kumruhusu aende na timu yoyote duniani inao uwezo wa kumnasa, ila, mfuko wao uwe umenona! Kama Ronaldo atatimka Madrid, atavunja tena rekodi ya usajili. Mreno huyo aliripotiwa kuwa anataka kuikacha Madrid baada ya kuhusishwa na kashfa ya ukwepaji wa kodi nchini Hispania. Ni kama ameamua jumla kuwa huu ni mwaka wake wa mwisho kucheza soka la Hispania, licha ya mataji aliyobeba msimu uliopita. Timu yoyote itakayohitaji saini ya winga...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News