CUF YAELEZA MBUNGE WAO ALIVYOWASALITI WANANCHI

ASHA BANI Na CHRISTINA GAULANGA-DAR ES SALAAM CHAMA cha Wananchi (CUF) upande unamuunga mkono Mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili, Profesa Ibrahim Lipumba, kimesema hatua ya aliyekuwa mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia kujiuzulu ni sawa na kuwasaliti wananchi waliomchagua. Kwa sababu hiyo kimewaomba radhi wananchi wa Kinondoni  ambao waliamini mbunge huyo anafaa kumbe amekuwa msaliti wa kwanza kwao. Akizungumza na waandishi wa habari  Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Uhusiano wa Umma, Abdul Kambaya alisema   Mtulia alikihadaa chama na wananchi wakamuona anafaa kumbe alikuwa na lengo la kuwasaliti. Kambaya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News