Croatia, Ufaransa katika fainali Kombe la Dunia

Goli la Mario Mandzukic katika dakika za nyongeza limeiingiza Croatia katika fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Uingereza Jumatano. Croatia sasa itapambana na Ufaransa Jumapili mjini Moscow. Ufaransa iliingia fainali baada ya kuitoa Ubelgiji katika nusu fainali. Uingereza ilipata goli zuri katika dakika za mwanzo tu za mechi dhidi ya Croatia kwa goli la Kieran Trippier katika dakika ya tano tu, na kwa muda mrefu wa kipindi cha kwanza Uingereza ilikuwa inaelekea......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News