Coutinho amechagua jezi namba 7 Barcelona

Nyota wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Liverpool, Philippe Coutinho atamaliza hatua yake kuhamia Fc Barcelona katika siku chache zijazo, kulingana na taarifa katika vyombo vya habari vya Hispania. Ripoti ya Leo January 3, 2018  imesema Coutinho amechagua kuvaa jezi namab 7 Barcelona, pia taarifa hiyo ikatokea katika​​ mtandao wa Express. Upande […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News