Country Boy LIVE!!! “Turn up” #FIESTA2017

Moja ya burudani ambayo ilitarajiwaFiesta 2017 Arusha ni pamoja na hii kutoka kwa Country Boy ambaye hakuchoka na hakusimama. Unaambiwa ilikuwa ni burudani tu kwenye stage ya FIESTA 2017 ambayo ndiyo msimu mpya ulizinduliwa rasmi akiperform nyimbo kadhaa ikiwemo ‘Turn Up’ Bonyeza Play hapa chini kutazama kila kitu… VIDEO:Vanessa Mdee – ‘kisela” (FIESTA 2017)...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News