CONTE ATULIZWA CHELSEA

LONDON, England KUFUATIA ripoti kuwa Antonio Conte anataka kutimka darajani, klabu ya Chelsea imesisitiza kuwa kocha wao huyo bado ana furaha ndani ya klabu. Mapema wiki hii iliripotiwa kuwa, Muitaliano huyo hakufurahishwa na jinsi klabu hiyo inavyokuwa nzito kukamilisha dili mbalimbali za usajili sokoni kuelekea msimu mpya, ambapo kocha huyo anatarajiwa kuwaongoza mabingwa hao wa Ligi Kuu England katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mtandao wa Sky Sports unaelewa kuwa, Chelsea wana imani na Conte, ambaye yuko mapumzikoni hivi sasa, ataendelea kuinoa timu hiyo na atarudi kwa ajili ya...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News