CHAKUA walilia ruzuku, kuwapigania abiria

NA AGUSTINO CLEMENT, TUDARCO DAR ES SALAAM Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (Chakua) kimesema kimekuwa na wakati mgumu wa kutimiza majukumu yake ya kutetea haki za abiria kutokana na kukosa ruzuku kutoka serikalini. Chakua imekuwa ikiahidiwa na serikali kupata ruzuku hiyo kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) kwa muda mrefu lakini utekelezaji huo umekuwa ukilegalega, hivyo kuathiri mikakati ya chama hicho. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mwenyekiti wa Chakua Taifa, Hassan Mchanjama, anasema moja ya majukumu ya chama hicho ni kuhakikisha abiria wanapewa haki...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News