CHADEMA yapaza sauti Meja Jen Mstaafu Mritaba kupigwa risasi

Mapema jana September 12, 2017 ziliripotiwa taarifa za kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi kwa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba na watu wasiojulikana wakati akiingia getini nyumbani kwake tukio ambalo limeamsha hisia za watu wengi na kupaza sauti zao kukemea huku wakilitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua zaidi. Kufuatia tukio hilo Chama cha Demokrasia na Maendeleo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News