Chadema yaeleza sababu za kutekwa diwani wake

CHAMA cha Chadema kimehusisha tukio kutekwa kwa mgombea wa udiwani wa kata ya Buhangazi wilayani Muleba Mkoani Kagera, Nelson Makoti kuwa ni njama za kisiasa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vincent Mashinji ameeleza kuwa kutekwa kwa diwani huyo ni njama za siasa kutokana na viashiria vya kulazimishwa mgombea huyo kuwa ajiengue ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News