Chadema yaeleza sababu za kuomba msaada wa FBI, GBI, Scotland Yard

Uongozi wa Chadema umeomba uchunguzi wa shambulizi alilofanyiwa Mbunge wa Mkoa wa Singida Tundu Lissu ufanywe na chombo chochote cha uchunguzi huru kama vile FBI (Marekani), Scotland Yard (Uingereza), GBI (Ujerumani) ambacho pande zote mbili (serikali na upinzani) unaimani nacho....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Friday, 22 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News