CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Sihakeo ya Uchaguzi wa Marudio

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili (Kinondoni na Siha) na Kata 10, Chama kitatoa Taarifa ...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Saturday, 17 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News