Chadema kumzika Tambwe Hiza kwa heshima kubwa

DAKTARI Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), amesema chama hicho kitamzika kwa heshima kubwa, Richard Tamwilay Hiza, mwanachama wake mashuhuri aliyefariki dunia jana. Anaripoti Charles William … (endelea). Richard Hiza, maarufu kwa jina la Tambwe alifariki dunia usiku wa kuamkia jana, kutokana na ugonjwa wa pumu, ikiwa ni siku moja ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News