Chadema Kukutana, Kuzungumza Yanayoendelea Nchini

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura, kwa mujibu wa Katiba ya Chama, siku ya Jumatano, Desemba 6, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho cha siku moja, pamoja na masuala mengine, Kamati Kuu ya Chama itapokea na kujadili agenda ya Mwenendo wa Hali ya Kisiasa nchini, kipekee kuhusu; i.Taarifa na tathmini ya uchaguzi mdogo wa udiwani kata 43. ii. Uchaguzi wa mdogo wa ubunge katika majimbo 3 na kata 6. Kupitia taarifa hii pia, chama kimepokea kwa tahadhari taarifa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News