CCM YAWAANGUKIA WAPIGAKURA KWA NYALANDU

NA GUSTAPHU HAULE -SINGIDA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida, kimewaomba wananchi wa Singida Kaskazini kumchagua mgombea wa chama hicho, Justin Monko kuwa mbunge wa jmbo hilo katika uchaguzi unatarajiwa kufanyika kesho. Ombi hilo lilitolewa jana na Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Jimson Mhagama, alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Itaja. Alisema mgombea wa CCM anatosha na ndiye anayefaa kuwa mbunge wa Singida Kaskazini kwa kuwa yupo tayari kuwapigania wananchi wake kwa kuwaletea maendeleo. Aliwataka wananchi hao wa Singida Kaskazini, kutokubali...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News