CCM YASHINDA KATA MBILI LINDI

  Hadija Omary, Lindi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi kimeshinda kwa kushinda katika uchaguzi mdogo wa marudio wa Madiwani katika kata za Nachingwea na Namichiga. Katika uchaguzi huo, mgombea wa CCM Kata ya Namichiga, Mikidadi Mtauna alishinda kwa kura 781 huku mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Salama Wambamba akiambulia kura 209. Kwa mujibu wa Ofisa Uchaguzi Wilaya ya Ruangwa, Yusuph Chilumba waliojiandikisha kupiga kura katika Kata ya Namichiga walikuwa 2,874, kura zilizopigwa 1,020, kura halali 990 kura zilizoharibika 30. Katika Kata ya Nachingwea,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News