CCM yaipongeza serikali

CHAMA cha Mapinduzi(CCM) mkoa wa Ruvuma kimeipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kufanikiwa kwa vitendo kutekeleza yale yaliyomo katika Ilani ya uchaguzi wa chama hicho, ambayo yamesaidia sana kuharakisha kukua kwa uchumi wa mkoa wa Ruvuma katika kipindi cha mwaka mmoja tangu serikali ilipoingia madarakani....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News