CCM wamtelekeza Mzee Makamba

JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira ametoa madai mazito kwa chama chake, kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtelekeza baba yake Mzee Yusuph Makamba akiwa mgonjwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Makamba ameandika ujumbe huyo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook, akielezea hali ya baba yake ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News