CANNAVARO ASAHAU CHEO CHAKE

MENEJA mpya wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amejikuta akisahau cheo chake hicho na ‘kukirejesha’ kwa Hafidh Saleh. Saleh amekuwa akishikilia cheo hicho kwa muda mrefu mno tangu wakati Cannavaro alipokuwa akiitumikia Yanga kama mchezaji na nahodha. Jana baada ya mazoezi yaliyofanyika asubuhi kwenye Uwanja wa Chuo cha Biblia mjini hapa, Cannavaro alijikuta akimwita Saleh meneja, cheo ambacho ni chake. Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga kuangua kicheko wakiamini Cannavaro bado hajazoea cheo chake hicho kipya. Hivi karibuni, uongozi wa Yanga ulimpa Cannavaro cheo hicho baada ya...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News