Bush asema kuna ushahidi Urusi iliingilia uchaguzi

Mashirika ya intelijensia ya Marekani yalihitimisha uchunguzi wao kwa kusema Urusi iliingilia uchaguzi wa 2016 ili kumsaidia Trump kushinda. Chunguzi kadhaa zinafanyika zaidi ili kubainisha kama kampeni za Trump zilisaidiwa na Ikulu ya Urusi, Kremlin....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News