Burundi yakanusha takwimu za wakimbizi za UNHCR

Serikali ya Burundi inakanusha vikali takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi-UNHCR kuwa ni wakimbizi  wakirundi zaidi ya 430,000 wanaohitaji misaada mwaka huu. Hayo yamejiri wakati shirika hilo limeanza kampeni ya kuchangisha pesa zaidi ya dola milioni 300 kwa ajili ya kuwahudumia wakimbizi hao ambao asilimia 80 wanaishi katika kambi za wakimbizi kwenye mataifa jirani. Burundi inasema UNCHR imekuwa ikidanganya juu ya idadi ya wakimbizi kutoka......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News