Burundi: UN yafadhili kituo cha radio cha taasisi ya mke wa rais.

Mkanganyiko umeibuka nchin Burundi kufuatia Umoja wa Mataifa kufadhili radio inayomilikiwa na taasisi ya fondation Ubuntu inayomilikiwa na mke wa rais wa Burundi Denis Nkurunziza na ambayo inapeperusha matangazo yake kutoka Mkoani Buye kaskazini mwa Burundi ambapo baadhi wanajiuliza iwpao ni jukumu la Umoja wa Mataifa....

read more...

Share |

Published By: RFI France - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News