BUNGE LAMUWEKA KIKAANGONI KIGWANGALLA

NA ESTHER MBUSSI-DODOMA BUNGE limemuweka kikaangano Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangala likitaka aundiwe kamati ndogo ya kibunge itayochunguza hatua mbalimbali anazochukua katika ofisi yake. Rai ya kuundwa kwa kamati hiyo, ilitolewa jana bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Kemilembe Lwota alipokuwa akiwasilisha taarifa ya kamati yake. Akisoma taarifa ya kamati yake, Lwota alisema uchunguzi huo uwe wa kujiridhisha kama mikakati inayochukuliwa na serikali ya kugawa vitalu vya uwindaji kwa njia ya mnada imesaidia kuongeza pato la taifa. Waziri Kigwangala amekwishafuta leseni zote...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News