Bunge la Ndugai ‘limeuza’ mamlaka yake Ikulu

Hivi karibuni niliandika makala nikijadili utendaji wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Nilisema katika makala hayo na naendelea kusisitiza kuwa Spika huyu ama ameshindwa kuyatambua mamlaka ya Bunge analoliongoza au anaogopa kuyatumia na kuishia kuiachia Serikali anayotakiwa kuisimamia....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News