BREAKING: TAKUKURU yatangaza watu wawili inaowapeleka Mahakamani

AyoTV na millardayo.com zilikua miongoni mwa vyombo vya habari vilivyoalikwa na Taasisi ya kupambana na rushwa TAKUKURU kwenye mkutano na Waandishi wa habari, ni mkutano ambao uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu Valentino Mlowola. Alianza kwa kusema >>> ‘Tunataka kuwapa taarifa za mapambano yetu dhidi ya rushwa na ufisadi nchini…. na leo tunawapa taarifa kwamba tunawafikisha Mahakamani Watuhumiwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News