BREAKING: Sugu ameachiwa kwa dhamana

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Emmanuel Masonga wanaokabiliwa na kesi ya kutoa lugha ya fedheha kwa Rais Magufuli wameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya. Baada ya upande wa washtakiwa kumaliza kutoa ushahidi wakiongozwa na Wakili Peter Kibatala, Sugu na Masonga […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News