BREAKING: RC Mwanza kamsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Jiji

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo September 13, 2017 ameweka Kambi Wilaya ya Ilemela kwa lengo la kusikiliza changamoto za wananchi wenye matatizo ya migogoro ya ardhi na kukaa mbele ya Watendaji wa Idara ya Ardhi wa Jiji hadi Halmsahuri ya Manispaa ya Ilemela ambapo ilikuwa swali kwa jibu papo hapo. Baada ya kusikiliza kero […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News