BREAKING: Rais Magufuli apitishwa kugombea tena CCM baada ya Tafakuri ya kina

Ni kutoka Dodoma leo December 17, 2017 ambapo Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Humphrey Polepole ametangaza maamuzi mapya ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM. Namnukuu Polepole akisema “Baada ya tafakuri ya kina, Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kimeazimia kwa kauli moja kuwateua na kuwapitisha wafuatao, wa kwanza […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News