BREAKING: Polisi waongelea kukamatwa kwa Mwanafunzi wa UDSM aliesambaza picha za nyufa kwenye Hostel mpya

Habari zilianza kusambaa kuanzia jana kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha zilizosambazwa na Mwanachuo wa UDSM kuonyesha Hostel mpya za Wanafunzi zilizozinduliwa na Rais Magufuli zikiwa zimepata ufa. Baadae taarifa zilidai kwamba Mwanafunzi huyo amekamatwa na Polisi ambapo leo Kamanda Mambosasa anaesimamia Kanda Maalum ya Dar es salaam ameulizwa na Waandishi kuhusu Mwanafunzi huyo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News