BREAKING: Mume wa zamani wa Irene Uwoya Ndikumana amefariki, chanzo chatajwa na alichoomba kabla ya kufariki

Asubuhi ya leo Tanzania imezipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambae amefariki ghafla. Mwandishi wa habari za Michezo Shaffih Dauda ameripoti kwamba Gakwaya Olivier ambae ni Afisa Habari wa Timu hiyo amesema Ndikumana amefariki kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni ugonjwa wa moyo. “Alisikia maumivu makali […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News