BREAKING: Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu amesimamishwa kazi

Taarifa zilizotufikia mudahuu ni kwamba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Nehemia Mchechu  ili kupisha uchunguzi. Taarifa hii imetolewa kupitia ukurasa wa twitter wa Msemaji Mkuu wa serikali Dr Hassa Abbas lakini sababu ya kusimamishwa kazi Bwana Mchechu bado haijawekwa wazi na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Saturday, 16 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News