BREAKING: Jengo la Madaraka Mwanza lavunjwa

Jengo la Madaraka lililoko katika eneo la Mission makutano ya Barabara ya Mission na Polisi Kirumba leo limevunjwa na Wakala wa Barabara Tanroad Mwanza kupisha upanuzi wa Barabara ya Airport Mwanza. BOMOABOMOA JANGWANI: Kinachoendelea baada ya wananchi kuondolewa...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 22 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News