BREAKING: Diamond Platnumz alivyofika Mahakamani Kisutu leo

Leo February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto. Nimekuwekea Video ya Diamond na Hamisa walivyofika Mahakamani...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News