BREAKING: Cristiano Ronaldo katangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2017

Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo usiku wa December 7 2017 amefanikiwa kutangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or na kuwashinda Lionel Messi wa FC Barcelona na Neymar wa Paris Saint ya Germain ya Ufaransa. Tuzo hiyo imezidi kudhihirisha kuwa Ronaldo ni moja kati ya wachezaji bora […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News