BREAKING: CHADEMA wazungumzia Diwani aliyetekwa ‘MULEBA’ na mengine

Leo February 7, 2018 Katibu Mkuu wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Vicent Mashinji ameongea na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo suala la Mgombea Udiwani wa Muleba  katika mkoa wa Kagera ambaye inasemekana alitekwa. Mashinji ameongelea hali ilivyokuwa katika chaguzi ndogo zilizopita katika maeneo mbalimbali nchini na kugusia majibu waliyoyapata kutoka Tume […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News