Bosi Takukuru du!

*Kesi ya Singa, Rugemalira, wabunge zamtia kitanzini *Mfumo mpya kupokea, kukalia taarifa wamponza *Rais Magufuli apasua jipu, yeye ajipiga ‘kufuli’ Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Kushindwa kupambana na rushwa kubwa, kutotengeneza mazingira rafiki kwa watoa taarifa za rushwa na kupuuza taarifa za rushwa, ni miongoni mwa sababu kadhaa ambazo zimemfanya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Kamishna Valentino Mlowola, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini. Baada ya kutoka mapumzikoni, Rais Magufuli alianza ziara ndefu katika mikoa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News