Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu imezungumza kuhusu wadaiwa sugu wa mikopo

Leo January 3, 2018 Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa kiasi cha Tshs Bilioni 285 bado ni madeni ya wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu tangu mikopo ianze kutolewa kwa wanafunzi. Kwa mujibu wa Mkurugenzi  Mtendaji wa HESLB, Abdul Razaq Badru, bodi itaendelea […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News