Benki ya Dunia yamhakikishia Rais Magufuli fedha za barabara, reli

Mwakilishi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird amemhakikishia Rais John Magufuli kuwa imejipanga kuendelea kutoa mikopo nafuu kwa miradi ya maendeleo hapa nchini ili kukuza uchumi na kupunguza umaskini....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News