Benki ya Dunia yaahidi neema kwa Tanzania

MWAKILISHI wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird amemhakikishia Rais John Magufuli kuwa benki hiyo imejipanga kuendelea kutoa mikopo nafuu kwa miradi mbalimbali ya maendeleo ili kukuza uchumi na kupunguza umasikini Tanzania....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News