BENJAMIN NYETANYAHU AKUTANA NA TRUMP KUJADILI TISHIO LA IRAN

Rais Donald Trump akutana na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu. Kushoto ni mke wa Netanyahu, Sara na kulia ni mke wa Trump Melania wakiwa ikulu ya White House Machi 5, 2018 jijini Washington,DC. Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu yuko mjini Washington kukutana na Rais Donald Trump kutafuta njia za kuzuia jeshi la Iran kuongeza himaya yake Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo yamekuja wakati Trump anajaribu kupima iwapo ni busara kwa Marekani kujiondosha katika mkataba wa kimataifa uliosainiwa na Iran wenye kusudio la kuzuia nchi hiyo kutengeneza silaha...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 5 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News