Bei ya petroli, dizeli yapanda kuanzia leo

BEI za bidhaa za mafuta ya petroli na dizeli zimepanda kuanzia leo ikilinganishwa na bei hizi mwezi uliopita. Katika taarifa yake kupitia matangazo kwa vyombo vya habari jana, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilisema bei kikomo za bidhaa mbalimbali za mafuta zinaanza kutumika nchi nzima kuanzia leo....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News