Bei mpya za mafuta kuanza kutumika kesho

 Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Hassan Juma Amuor akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu mabadiliko ya bei za mafuta .Waandishi wa habari  wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) huko Maisara Zanzibar kuhusu mabadiliko ya  bei mpya za mafuta  (Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo)Na Kijakazi Abdalla                   Maelezo    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya ya mafuta ambayo itaanza kutumika kesho Jumanne 13/03/2018.Akizungumza na Waandishi wa habari Afisa Uhusiano wa  Mamlaka ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 12 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News