BAVICHA WAMSHAMBULIA LOWASSA

Na TUNU NASSOR -DAR ES SALAAM BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha)  limesema limeshangazwa na kauli ya aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho, Edward Lowassa, kumsifia Rais Dk. John Magufuli. Katibu Mkuu wa Bavicha, Mwita Julius amesema   suala hilo halijawahi kujadiliwa katika vikao vya chama hicho. Kauli hiyo imetolewa siku mbili baada ya Lowassa kwenda Ikulu na kuzungumza na Rais Dk. Magufuli ambako kiongozi huyo alipongeza kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli. Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News