Bandari Dar kushusha bei ya bidhaa Uganda

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema mikakati ya ujenzi wa reli ya kisasa na miundombinu mingine ya usafi ri na usafi rishaji katika Korido la Kati, itaongeza ufanisi wa kufupisha siku za usafi rishaji mizigo kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi Kampala, Uganda, hadi kufi kia siku nne tu kutoka tisa za sasa....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News