Balozi Seif: Serikali haitovumilia miradi isiyopata baraka za serikali

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akiongozwa na Mwakilishi wa Jimbo la Kijini Mh. Juma Makungu Juma  wa kwanza mbele Kushoto kukagua Hoteli ya Sun Rise iliyopo Matemwe Mbuyu Tende inayokusudia kutaka kujenga Kituo cha Upigaji Mbizi { Diving} katika Mwambao wa Matemwe.Nyuma ya Mh. Juma Makungu Juma ni Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unaguja Mh. Vuai Mwinyi na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sun Rise Bwana Hussein Munnawar Mohamed. Balozi Seif aliyevaa Suti Nyeusi na Kukaa kitini kati kati akimsikiliza  kwa makini Mkurugenzi Uwezeshaji na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News