Balozi Seif mgeni Rasmi Tamasha la Mzanzibari

Na Mwashungi Tahir   Maelezo  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika  tamasha la Mzanzibar  ambapo linatarajiwa  kufanyika tarehe 19-25 mwezi huu  ambapo tamasha hilo hufanyika kila mwaka ifikapo mwezi wa saba. .Hayo amesema Katibu mkuu wa Wizara ya  Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo  Hassan Omar  huko katika ukumbi wa mkutano ulioko Migombani wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu utaratibu mzima utaofanyika wa tamasha la Mzanzibar linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni.Alisema tamasha hilo la 23 la Mzanzibar hufanyika kila mwaka ifikapo mwezi huu kwa lengo kuu la  kukuza mila , silka na  utamaduni  wa kizanzibar...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News