Balozi Seif afungua Mkutano Mkuu wa kuwachagua Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa Kaskazini Unguja

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar  Mzee Ali Ameif Mohamed kabla ya kuufungua Mkutano wa Uchaguzi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Hapo Mahonda. Balozi Seif akiufungua Mkutano  Mkuu wa Uchaguzi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika Hapo Mahonda. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano  Mkuu wa Uchaguzi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia utaratibu wa Kikao chao cha kuwachagua Viongozi wao watakaowatumikia katika Kipindi cha Miaka Mitano ijayoBalozi Seif  akiwa Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda na Mjumbe wa Kamati...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News