BABU SEYA, PAPII WATINGA IKULU

NA JESSCA NANGAWE GWIJI wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza, jana walitinga Ikulu ya Dar es Salaam, kutoa shukrani kwa Rais John Magufuli kutokana na uamuzi wake wa kuwapa msamaha kutokana na adhabu ya kifungo cha maisha waliyokuwa wakitumikia. Desemba 9, mwaka jana Rais Magufuli alitoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali akiwemo Nguza na Papii, hatua iliyoibua furaha kubwa kwa mashabiki wa dansi nchini. Katika msafara huo wa jana, Nguza pia aliambatana na mwanaye mwingine, Nguza Mbangu na kutoa neno lao la shukrani kwa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News