Babu Seya, Papii Kocha waula tena

Wawili hao na wanafamilia wengine wawili, jana walipata nafasi ya nadra kuingia Ikulu na kuzungumza na Rais John Magufuli, ikiwa ni siku 25 tangu waliposamehewa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi na kubaka watoto wenye umri kati ya miaka sita na nane....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News