Baada ya mwaka mmoja na siku 114 Simba imepata ushindi wa kwanza vs Azam leo

Baada ya headlines na shauku ya mashabiki wengi kutaka kushuhudia game ya Simba na Azam FC nani atakuwa mbabe, hatimae leo Jumatano ya February 7 2018 game hiyo imechezwa na mbabe amejulikana. Game ya Simba dhidi ya Azam FC leo ilikuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu hizo zote hizo kufukuzana kwa karibu hivyo matokeo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News